Ninatafuta mfadhili

Description

Mimi nipo Moshi.nimesoma course ya participatory project planning and management katika chuo cha maendeleo ya jamii.(CDTI TENGERU)katika ngazi ya advanced diploma na ufaulu wangu ni GPA 3.7 Hivyo ninatafuta mfadhili kwa ajili ya kujiendeleza zaidi katika postgraduate diploma au masters degree.nilimaliza chuo mwaka 2008