Natafuta kazi ya wiring

Description

natafuta kazi za wiring/kusuka umeme wa majumbani,,bei zangu ni nafuu sana..bei zangu ni hizi.. nyumba ya vyumba 3 ni sh 270,000tu..ya vyumba 4 ni sh 350,000...ya vyumba 2 ni sh 180,000 tu...pia ninafunga feni,ac,majiko makubwa ya umeme,,,na kutatua ubovu/short circuit majumbani...