Naomba ufadhili wa masomo

Description

Mungu ni mwema...mimi ni kijana nimemaliza kidato cha 6 mwaka 2016 na nikapata dv 3 ya pt 14 mchepuo wa PCM..Sikufanikiwa kwenda chuo kikuu kutokana na kukosa D moja kwenye masomo yangu...mwaka huu 2017 niliapply diploma ya ualimu wa sekondari unaochukua miaka 2,Mungu akanisadia nikachaguliwa kwenda Korogwe Teachers College,,Naomba ufadhili wa masomo hayo kwa kulipiwa ada ambayo ni tsh.600000 kwa mwaka mmoja...mzazi wangu hana uwezo wa kuafford ada hiyo...ahsanteni na Mungu awabariki