Naomba mfadhili wa kunisomesha chuo

Description

Naitwa jackson, naomba mfadhili wa kunisomesha chuo nataka kusomea basib technician certificate in engineering and maintenance management katika chuo cha bandar naomben msaada ndugu zangu