Je ,unahitaji fundi umeme wa majumbani ?

Description

kwa huduma za kufanyiwa wiring/kusukiwa umeme katika nyumba yako ,,nipigie nitakuja kukushauri kuhusu vifaa bora na namna ya wiring bora na nitakufanyia kazi yako vizuri sana na kwa muda mfupi/siku chache tu na kukuchorea mchoro wa kupeleka tanesco ili uje ufungiwe umeme..bei zangu ni nafuu kuliko mafundi mengine...pia ramani za nyumba zinapatikana kwa bei nafuu..