Acer Chromebook Laptop for sale - New Model

Description

Laptop aina ya Chromebook, Zimeundwa kwa ajili ya kazi, zinafanya kazi zikiwa online kwa kupitia wireless, zinauwezo wa kuonesha kazi live kwenye chromebook nyengine, ni nzuri kwa ajili ya kusimamia shughuli zako za kiofisi kwa muda husika. Haingii virus na haitumii hard disk, inatumia google drive ambayo inakuacha uhifadhi data nyingi uwezavyo online.