SHULE INAUZWA@MBAGALA

Description

ENEO LINA MAJENGO YA SHULE NA CHUO CHA UALIMU. UKUBWA 60,138.5sqm (HEKA 15). IKO UMBALI WA KM 22 KUTOKAMANISPAA YA TEMEKE NA MAKAO MAKUUYA WILAYA YA TEMEKE. ENEO LIMEPIMWA NA LINA HATI. IKO UMBALI WA 1 KUTOKA AZAM COMPLEX