Natafuta shamba lisilokauka maji, Kigamboni/Mbezi

Description

Natafuta mtu mwenye shamba lisilokauka maji maeneo ya kigamboni,mbezi nk. awe na mtaji wa laki 5 ili tulime tikiti maji na nyanya chungu ,mimi ni mtaalamu wa mazao haya kuanzia mwezi wa
4/2016..