Nakodisha nyumba Migombani

Description

Nakodisha nyumba, ipo migomban, two room, zote master na ac ukumbi jiko geti, sehem kubwa ya parking na beach inaonekana kwa dolla mia tano