Lipia kiwanja kwa awamu 2 Mabwepande

Description

Lipia kiwanja kwa awamu 2 Mabwepande.Ziko heka 3 zinazokatwa hatua miguu 20*20 @ sh 3m. Unaruhusiwa kutoa nusu (yaani 1.5m au 1m) kisha zingine ndani ya miezi 2.Dsm inakua kwa kasi kila siku na Mabwepande sasa kuna usafiri na si mbali sana na kituo cha daladala mahali vilipo viwanja na umeme bado nguzo 1/2 to. Kama si wewe basi ambia ndugu, jamaa na rafiki wasikose.Hakika atakushukuru sana.Changamkia fursa hiyo. Sossy Dalali.