Natafuta rafiki wa kike au mchumba

Description

Naitwa Geo, nnamiaka 32. Naishi Dar ila mala nyingi nakuwa Kibaha. Mimi elimu yangu ni kidato cha nne. Mimi ni mjasiria mali pia ni fundi magari. Natafuta rafiki wa kike au mchumba ili bahadae awe mke wangu, awe mstaharabu sichagu elimu ila awe ni mwanamke anaye jituma. Niko seriousy wala sitanii katika jambo hili ni kweli nahitaji mwanamke wa kuoa. Umri kuanzia miaka 18 mpaka 31. Kama Wewe ni mdada na una hitaji mume kweli nipigie au ntumie SMS muda wowote