Natafuta rafiki mpole na mkarimu

Description

Naitwa Imani Shabani. Naishi Miwani Zanzibar. Nina umri wa miaka 22.

Natafuta rafiki mpole, mkarimu na mwenye tabia njema kuanzia umri wa miaka 18 hadi 20. Mimi ni mpole napenda watu. Napendelea mpira wa miguu.