Natafuta mwanamke mwenye wa miaka miaka 24-29

Description

Habari! Naishi kahama, mimi mwanaume wa miaka 28, naishi na maambukizi ya UKIMWI hivyo basi natafuta mwanamke mwenye wa miaka miaka 24-29 na awe anashi kanda ya ziwa yaan shinyanga,mwanza,geita,mara n.k na awe na hali kama yakwangu maana kuna wengine wasumbufu yaan hawana nia nimejiuliza hawa wengine ambao hawana nitawaonea tu hivyo kama uko tayar sms.
NA MUNGU AWABARIKI SANA Kumbukeni hili ni janga la dunia nzima wala siyo janga la jamaa kwa hiyo haina maana ya kumunyanyapaa mwenye vvu na wale ambao mko kimasilahi zaidi mtanisamehe sana maana siko tayar kuchunwa.