Natafuta mume mwenye maambukizi

Description

Habar naitwa Vumy nina miaka 31, nimuajiriwa wa serikali. Nipo HIV Positive, natafuta mume mwenye maambukizi pia awe na umri kuanzia miaka 35 na kuendelea awe muajiriwa au amejiajili na anapata kipato cha kuweka afya zetu vizuri na maendeleo pia. Pia awe mwenye hofu na Mungu