Natafuta mchumba Zanzibar

Description

Jina Abdalla Juma Suleiman naishi Kwaalinato Zanzibar, umri wangu ni miaka 21. Natafuta mchumba awe na sifa ya umbo namba nane na pia awe mrefu wa saizi.