Natafuta Mchumba mwathirika wa ukimwi

Description

Naitwa Paulo Samsoni, mfanya biashara. Mkazi Wa Mkowa Wa Morogoro Ifakara, dini Mkolole. Ombi Langu Natafuta Mchumba MWATHIRIKA WA UKIMWI HATA MIMI MWENYE NINA NIMEATHIRHKA TOKA MWAKA 2010, Wa Kike Baadae Awe Mkewangu Wa Ndoa. Awe Na Sifa Zifatazo: Mwenye Umri Kuanzia Miaka 18 Mpaka 30, awe Msafi na awe anapenda kujishungulisha kazi yoyote. Awe anajua mapenzi kitandani, awe mpole na mnyenyekevu nawe anapenda amani, asiwe mrevi. Mimi napenda kusoma Biblia na kucheki filamu na kupumzika, kusoma magazeti, kufanya mazoezi. Kinywaji changu maji