Natafuta mchumba mwalimu au Daktari

Description

Mimi ni Mwanamume wa miaka 28, Mkristo mwembamba na mweusi kiasi. Nina elimu ya chuo. Natafuta mchumba Mwalimu au Daktari na interest na biashara. Awe na umbo la kike, mrefu, mwenye upendo, mvumilivu na mwenye kiasi. Niko Dar es Salaam