Natafuta mchumba/ mume mwenye Hiv +

Description

Kwa jina naitwa Aisha abdallah. Nina umri wa miaka 25. Naishi Dar es salaam.

Natafuta mchumba/ mume mwenye Hiv +, awe muislam na awe ameajiriwa au awe na kazi maalum, umri 27-35, awe mrefu mweusi msomi na mwelewa wa mambo mwenye hofu ya Mungu, asiwe mlevi wala mvuta sigara mwenye upendo na watu wote.