Natafuta mchumba awe mcha Mungu

Description

Naitwa Nelly naishi Mbezi, nina miaka 25, najishughulisha na biashara, nilikuwa natafuta mchumba awe mcha Mungu na awe na umri wa 21 hadi 23 na dini mkristo