Natafuta marafiki wa kuchati nao

Description

Hi naitwa Vaileth. Naishi Kibamba Dar es salama. Nina umri wa miaka 19. Natafuta marafiki wa kuchati nao wawe wastaarabu na wapenda amani.