NAHITAJI MWANAUME: NAPENDA AWE NA UPENDO WA KWELI

Description

NAHITAJI MWANAUME AMBAYE YUKO TAYARI KUFUNGA NDOA'SIBAGUI DINI-UMRI WANGU 32 NAISHI DAR -KIGOGO 'NAPENDA AWE NA UPENDO WA KWELI'ANIPENDE NAMI NIMPENDE'KUHUSU KABILA 'MNYATURU-SINGIDA'ELIMU YANGU DARASA LA SABA' SINA MTOTO 'HUO NDO UKWELI WANGU.

UMRI NINAYE MTAKA ANGALAU AWE KATI 35-40.