Nahitaji mwanamke yeyote

Description

Naitwa Nelson umri wangu ni 24 nipo Morogoro. Mrefu wastan na umbo la kawaida, Maji ya kunde. Napenda sana kusikiliza Muziki wa gospel, hiphop & rnb Huwa natumia muda wangu pia kuangalia mpira wa miguu na kucheza pia. Nahitaji mwanamke yeyote atayenipenda kama nilvyo sichagui dini, kabila wala kigezo chochote isipokuwa anipende kwa dhati.