Nahitaji mchumba wa kike

Description

Naitwa AHMED umri wangu ni miaka 23 mimi ni msomi napenda sana kusoma naishi mwanakwerekwe nataka mpenzi dini yoyote awe anaishi Zanzibar. Nahitaji mchumba anaeishi masingini awe mtanashati wa kike