Nahitaji mchumba wa kike

Description

Jina langu Vicent, naishi Geita, nahitaji mchumba wa kike, umri wangu miaka 28, kabila msukuma langi maji ya kunde natafuta mchumba kabila yoyote na langi yoyote umri miaka kuazia 18 hadi 39. Asante