Nahitaji mchumba msomi, mtanashati, pia awe mpole.

Description

Kwa jina naitwa Asnaa, naishi Masingini. Nina miaka 23, ni mwanafunzi wachuo,

Mimi ni mwembamba mrefu kidogo, napenda sana kusoma majarida na kusoma magazeti. Nahitaji mchumba msomi, mtanashati, pia awe mpole. Nahitaji rafiki mwenyewe awe ni muislam.