Ninatafuta kazi ya kuuza duka

Description

Jina langu ni Salfiq Rajab, nina umri wa miaka 19, elimu ni mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne lakini matokeo yangu hatajatoka, natafuta kazi ya kuuza duka, ninaishi maeneo ya Mbagala.