Natafuta mtu/kampuni ya kunisaidia kujenga shule

Description

Mimi ni BRIGHTON, niko mkoa wa KIGOMA Tanzania, natafuta mtu au Campuni ya kunisaidia kujenga shule ya chekechea kwenye jamii yetu.
Pia natafuta mfanya biashara anaeweza kuungana na mimi awe ananipatia mzigo wa kibandani kama vile ngano,sukari,korie,sabuni, n.k, naweka kibandani kwangu nakuwa nampatia hela kwa baada ya mauzo, Niko site nzuri tatizo ni bidhaa