Natafuta mpishi mzoefu (Chef)

Description

Natafuta mpishi mwenye uzoefu wa kupika vyakula vya kigeni na vya kawaida. Nina Restaurant yangu ipo ya watalii ipo mjini iringa