Natafuta Kibarua Niko Tayari Kufanya Kazi Yoyote

Description

Naomba Kazi Kwa Sababu Nilishawai Kufanya Kazi. Ninauzoefu Wa Kutosha Nilifanya Kazi Supermarket Miaka Minne Nikaacha Ili Nijisomeshe Kutokana Na Mda Ulikua Aujawanyiki Nimekwama pesa Ya Kusoma Ndo Maana Natafuta Kibarua Niko Teari Kufanya Kazi Yoyote Nitakayo Pangiwa