Natafuta kibarua chochote mradi tu kiwe halali

Description

Natafuta kibarua chochote mradi tu kiwe halali: usafi, mazingira, kuchoma nyama na chips, umri wangu miaka 20, elimu kidato cha pili, yeyote atakayenihitaji anitafute. Niko tiyari kufanya kazi mkoa wowote. Kwasasa niko mwanza