Natafuta kazi yoyote ya hotel au mgahawa

Description

Naitwa prince, natafuta kazi yoyote ya hotel au mgahawa...pia duka au supermarket elimu yangu ni kidato cha nne, pia Nina ujuzi wakutumia computer. Naishi mwenge Dar es salaam, nina umri wa miaka 23.