Natafuta kazi yoyote ile

Description

Kwa majina naitwa Mhoja Kitobo npo mkoani Mwanza, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20 nina elimu ya kidato cha nne, natafuta kazi yoyote ile, nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote.