Natafuta kazi yoyote halisi

Description

MIMI NAITWA MOLA, NIPO UBUNGO DARES SALAAM TANZANIA. NATAFUTA KAZI YEYOTE ILE IMLAD IWE NA MASILAHI. ELIMU YANGU NI DARASA LA 7 NINAMIAKA 23.