Natafuta kazi yoyote

Description

Naitwa John, nina elimu ya darasa la saba, naishi Mbeya, natafuta kazi yoyote iwe mkoa wowote, nina miaka 20 na nina uzoefu wa mwaka mmoja. Asante