Natafuta kazi yoyote

Description

Mimi henry, ninaumri wa miaka 23 naishi Mbezi Dar,ninauwezo mzuri wa kupika nimejifunza online pia ninauwezo wa kujifunza kwa haraka hivyo kuniwezesha kujihusisha na kazi yoyote