Natafuta kazi yeyote ile ikipatikana

Description

Mimi naitwa Timotheo, natafuta kazi yeyote ile ikipatikana.
Nina umri miaka 18, ninaishi, kata ya Mwala, wilaya ya Nzega, mkoa wa Tabora, mimi nina elimu ya shule ya msingi, nilimaliza shule mwaka 2014 darasa la saba 7 katika shule ya kishili, mimi nina uzoefu wa kuuza maduka ya nguo, pia ninauwezo wa kufanya kazi yeyote ile ikipatikana, ninaomba kazi yeyote Asante kwa kuisoma SMS hii.