Natafuta Kazi ya stationary

Description

Naitwa Tarick Mhando, mimi ninaishi ubungo Msewe. Na Elimu yangu ni form 4 ningeweza kusoma chuo lakini nilimaliza chuo na somo moja nilifail so skuweza kupata cheti nilikuwa nasomea IT.
Ila nauzoefu wa kazi za stationary nimefanya kwa miezi 8 na graphic kidogo