natafuta kazi ya stationary

Description

mimi nina ujuzi wa kazi za stationary zote,hadi kupiga picha na kusafisha,nipo tayari kwa kazi ,,matarajio ya mshahara ni sh 150,000 kwa kila mwezi,nimeokoka na ninampenda bwana yesu,nina heshima watu wa kila aina,,nipo tayari kwa kazi