Natafuta kazi ya secretary au stationery

Description

255628320065
Naitwa Deborah, nina umri wa miaka 26, elimu yangu ni kidato cha nne, niko mkoani Kigoma. Natafuta Kazi ya Secretary au Stationery. Nina uzoefu wa mda mrefu takribani miaka 6. Nilikuwa nafanya Kazi katika kiwanda cha pamba Tabora na Internet Cafe pia.