Natafuta Kazi ya Secretary

Description

Naitwa Amina Majawa naish dar es salaam , Mbagala. Umri ni miaka 23 Nimesoma secretarial and computer application at veta level (iii) Uzoefu wangu ni field attachment nilio fanya TANROADs shinyanga kwa muda wa miezi mitatu nikiwa Kama secretary .