Natafuta kazi ya secretary

Description

Naitwa Teofrida, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22, nimehitimu chuo mwaka 2017 mwezi wa nane. Naomba kazi ya secretary, nina uzoefu wa kazi ya secretary nimehitimu kwa ngazi ya cheti, nipo morogoro.