Natafuta kazi ya Sales & Marketing

Description

Jina: Dominic Thomas
Naishi: Gongo La Mboto, Dar es salaam
Umri: 21

Mimi ni Mtanzania ninaeongea kiswahili na kiengereza.

ELIMU
- Form 4

UZOEFU
- Nilishawahi fanya kazi ya ujasiriamali kwa miezi 6 kazi ya kuuza dawa za kuulia wadudu.

Ninatafuta kazi popote ndani ya East Africa.

TRANSLATION

Name: Dominic Thomas
Place of Residence: Gongo La Mboto, Dar es salaam
Age: 21

EDUCATION
- Form four certificate

EXPERIENCE
- 6 months as Seller of insecticides.
I am looking for a job in Sales & Marketing any where in East Africa.