Natafuta kazi ya record management

Description

Naitwa Naomy.
Naish Mbglkuu, binti miaka 22. Nina certificate ya record management.
Nimewahi kuvoluntire halmshauri ya wilaya ya mbarali mwaka mmoja.

Natafuta kaz ya record management.