Natafuta kazi ya kuuza kwa duka la dawa

Description

Hello mie naitwa Mary Emmanuel nipo mwanza, umri miaka 22, natafuta kazi ya kuuza duka la dawa.elimu yangu ni Muuguzi EN.Nina leseni na vyeti. Pia nina uzoefu wa kazi hii miaka 3. I'm flexible popote itakapopatikana kazi nitaenda.Ahsante.