Natafuta kazi ya kuuza duka la super market Kahama

Description

Naitwa Joyce pius kidiku nina umri wa miaka 20 ninaishi shinyanga kahama Natafuta kazi ya kuuza duka la super market Kahama nina cheti cha form four na ninauzoefu na kazi hiyo natumaini mtanipatia kazi