Natafuta kazi ya kuuza duka la nguo au nafaka

Description

Natafuta kazi ya kuuza duka la nguo au nafaka n.k. Nina uzoefu katika kazi hizo,elimu ni form 4, nina umri wa miaka 22. Kwasasa niko Dar es salaam. Kwa yoyote aliekuanayo kazi hio ama kusikia kwa ndugu, rafiki naomba anifanyie msaada kuniunganisha naye.