Natafuta kazi ya kuuza duka

Description

Natafuta kazi ya kuuza duka lenye bidhaa zozote iwe ni mchanganyiko au aina moja Nina ishi kinyerezi dar es salaam. Nina elimu ya kidato cha NNE Nina uzoefu wa kuuza duka mwaka mmoja natumaini nitafanikiwa asante