Natafuta kazi ya kufanya

Description

Habari! Nipo Dar natafuta kazi ya kufanya,kazi yoyote isipokua bar na kutembeza vyombo, nipo makongo na elimu kidato cha nne