Natafuta kazi ya air fares & ticketing/ secretary

Description

Naitwa khadija, natafuta kazi ya air fares and ticketing au secretary nimesomea certificate ya airfares and ticketing na nimefanya field yangu campany ya ZAT zanzibar airport, nimesomea computer zoom, nina elimu ya form 4. naishi fuoni, nina miaka 23.