Natafuta kazi ya afisa kilimo

Description

Naitwa Gloria, natafuta kazi ya afisa kilimo nina certificate ya agriculture. Natoka Mkoa wa moshi, nina umri wa miaka 25. Taaluma: certificate in general agriculture
Mwaka wa kuhitimu:2014